Akothee – Hayakuhusu Lyrics

Akothee – Hayakuhusu Lyrics

Akothee Hayakuhusu Lyrics Mp3 Download: Fakaza, Listen to Akothee song online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Local Songs and Amapiano Mix delivered to you in South Africa

Hayakuhusu Lyrics Akothee

Mbona inakuchoma na haikuhusu
Ana mimba huyo, ana mimba huyu
Hatosheki kabisa
Wa sita huyo ni wa sita huyo
Mmmh aah

Anaganga huyo, ana ganga huyo
Hatulii kabisa ana shaka huyo
Ana shaka huyo
Mara hana heshima

Anakesha kupima si ati ni mtu mzima
Mwanangu akapima
Viringa vyake nusu kichina
Ana kesha kupima
Si ati ni mtu mzima
Mwanangu anapima

Mbona inakuchoma na haikuhusu
Mi na pakua pata unakesha Insta
Mbnona inakuchoma na haikuhusu
Sifa zako umbeya kazi ni vikamera

Mbona inakuchoma na haikuhusu
Unashindana na mimi utachanika
Mbona inakuchoma na haikuhusu
Unashinda ukifunga mdomo shona na uzi